WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YA JAMII JIMSIA WAZEE NA WATOTO AZINDUA TIMU YA CCM QUEEN TANGA ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA A.SPORTS NA FEDHA KWA COASTAL UNION
| BAADHI YA VIONGOZI WA CCM NA MICHEZO WAKIWA NA WAZIRI WA AFYA KABLA YA UZINDUZI WA TIMU YA SOKA YA CCM QUEEN |
| KATIBU MWENEZI WA CCM MKOA BW. KAPANGE AKIHAMASISHA VIJNA KABLA YA UZINDUZI |
| WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU AKIKABIDHI BENDERA YA CCM KWA TIMU YA SOKA YA CCM QUEEN AMBAYO ITAZUNGUKA KATIKA KATA 27 ZA JIJI LA TANGA |
| WAZIRI WA AFYA AKIMKABIDHI VIATU MWNYEKITI WA A.SPORTS AWADHI AHMED PAMBA KATIKA UWANJA WA CCM MKWAKWANI |
| WAZIRI WA AFYA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WACHEZAJI WA CCM QUEEN |

No comments: