ZIARA YA MAFUNZO UJUMBE WA MKOA WA GEITA KUHUSU NAMNA YA KUTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIJAMII KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WILAYANI KOROGWE
MKUU WA MKOA WA GEITA ROBERT GABRIEL AKIWA NA BAADHI YA VIONGOZI WILYA YA KOROGWE NA GEITA WAKATI WAZIARA YA SIKU MOJAKUJIFUNZA UTEKLEZAJI WA MIRADI KWA KUSHIRIKISHA WANANCHI |
Add caption |
Add caption |
MRADI WA UJENZI WA TANKI LA MAJI LENYE UWEZO WAKUFADHI LITA MILIONI 4 KWA WAKATI MMOJA |
MOJA YA MAJENGO YA SHULE ZA MSINI AMBAYO YALIJENGWA KWA KUSHIRIKISHA WANANCHI |
UJENZI WA SOKO LA KISASA NI MOJA YA MIRADI INAYOTLEKELEZWA WILAYANI KOROGWE |
MBUNGE WAJIMBO LA KOROGWE MJI MARY CHATANDA AKIZUNGUMZA WAKATI WA ZIARA HIYO |
UJENZIWA WODI YA WAGONJWA KATIKA ZAHANATI YA MAJENGO |
MOJA YA MABWENI YALIYOJENGWA KWA KUSHIRIKISHA WANANCHI |
V
VIONGOZI WA MKOA WA GEITA WALIOAMBATANA NA MKUU WA MKOA HUO KATIKA ZIARA YA KUJIFUNZA UTEKELEZAJI WAMIRADI KWA KUSHIRIKSHA WANANCHI
MWENYEKIT WA HALMASHAURI Y MJI WA KOROGWE HLARY NGONYANI AKIZUNGUMZA KATIKA MAJUMUISHO YA ZIARA HIYO |
MKUU WA MKOA WA GEITA MHANDISI ROBERT GABRIEL AKIZUNGUMZA WAKATI WA MAJUMUISHO |
No comments: