SERIKALI YATWAA SHAMBA LA MPIRA KIHUHWI
| WANANCHI NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA SHAMBA HILO WAKIMSIKILIZA MKUU WA WILAYA |
| MKUU WA WILAYA MWAMASHA TUMBO AKIWA NA BAADHI YA VIONGOZI WAKATI ALIPOTEMBELEA SHAMBA LA MPIRA KIHUHWI |
| ADHA YA USAFIRI BARABARA INAYOINGIA KWENYE SHAMBA LA MPIRA KUTOKANA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA |
| BAADHI YA WANACHI WANAOISHI JIRANI NA SHAMBA HILO WAKIMSIKILIZA MKUU WA WILAYA |
| PICHA YA FEBRUARI 17 MWAKA HUU IKIONYESHA UZALISHAJI WA MPIRA KATIKA SHAMBA LA KIHUHWI WILAYANI MUHEZA |

No comments: