HUYU NI KIBOKO JIKE BAADA YA KUWAWA NA MAAFISA WA MALIASILI BAADA KUVAMIA MAENEO YA PWANI YA BAHARI NA KUTISHIA USALAMA WA WANANCHI |
KWA KAWAIDA KIBOKO HUISHI KWENYE MAENEO YA MITO NA MAJI BARIDI LAKINI KIBOKO HUYU ALIKUTWA MAENEO YA BAHARI AKIVINJARI NA KUTISHIA USALAMA WA WANANCHI |
WANANCHI WAKISAIDIANA NA MAAFISA WA MALI ASILI KUCHUNA NGOZI YA KIBOK KWA AJILI YA KWENDA KUHIFADHIWA |
No comments:
Post a Comment