BARAZA LA USALAMA UN LA SHTUSHWA NA KOREA KUSINI
KOREA KASKAZINI YAFANIKIWA KURUSHWA KOMBORA LA MASAFA MAREFU
Korea Kaskazini yadai uwezo wa kulipua Marekani

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amesema kuwa taifa lake linauwezo wa kushambulia maeneo yote ya Marekani, katika bahari ya Pacific.Korea Kaskazini imesifia pakubwa uwezo wake huo wa kuunda silaha za kitonoradi.
BBC

No comments: