Header Ads


Wanachama Raya Kipingu kushoto na Alex Abraham wakisikiliza kwa makini hoja za mkutano mkuu

Mkutano mkuu wa Mwaka wa wanachama wa TangaPress Club umeridhia kujivua uongozi kwa aliyekua Makamu mwenyekiti wa  Klabu Hiyo Bertha Mwambela kwa kosa la kukengeuka katiba ya TPC kifungu 3.8.7 na 3.6.1.  aidha mkutano huo umemsimamisha uwanachama aliyekua katibu msaidizi Dege Masoli kwa mujibu wa  katiba kifungu 3.4.3.

No comments:

Powered by Blogger.