Header Ads


Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa (kaunda suit) akitoa maelezo kwa Naibu waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki Suzan Kolimba (Nguo kijani) wakati alipotemmbelea eneo la Chongoleani panapotarajiwa kujengwa bandari ya mafuta katikati ni Meya wa jiji la Tanga na kushoto mwenye Buibui ni katibu tawala wa wilaya


No comments:

Powered by Blogger.