WANAWAKE SARUJI TANGA WAFANYA MATEMBEZI KUHAMASISHA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
HAPA NI ENEO LA MAWENI |
AKINAMAMA WAKIPITA ENEO LA KICHANGANI WAKATI KUELEKEA KIWANDA CHA SARUJI |
AFISA RASLIMALI WATU DIANA MALAMBUGI (MWENYE FLANA NYEUPE) MSTARI WA MBELE WAKISUBIRI WENZAO KUENDELEA NA MATEMBEZI YA (KM) TANO KUHAMASISHA UPIMAJI WA SARATNI YA SHINGO YA KIZAZI |
AFISA HABARI NA MAWASILANO TANGA CEMENT MTANGA NOOR KULIA AKIONGOZA WANAWAKE KATIKA MATEMBEZI YA KM 5 KUHAMASISHA UPIMAJI SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI |
BAADHI YA AKINAMAMA WALIOSHIRIKI KATIKA MATEMBEZI YA KUHAMASISHA UPIMAJI WA SARTANI YA SHINGO YA KIZAZI |
No comments: