PICHA MBALIMBALI HAFLA YA KUHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KUJITOLEA JESHI LA KUJENGA TAIFA 838 MARAMBA
| MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA AKIWASILI KWA AJILI KUFUNGA MAFUNZO YA JKT, JUMLA YA VIJANA 867 WAMEHITIMU MAFUNZO HAYO |
| MKUU WA MKOAMARTIN SHIGELA AKIKAGUA WAHITIMU WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO |
| HESHIMA KWA MWENDO WA POLE |
| HAPA NI HESHIMA KWA MWENDO WA HARAKA |
| KWATA YA NGUVU VIJAN WAKIONYESHA KUWA WA MEHITIMU |
| BENDI YA JESHI LA WANANCHI JWTZ IKIONGOZA GWARIDE KUFUNGA MAFUNZO JKT MARAMBA |
| WAHITIMU WAKIWA KATIKA ZOEZI LA SINGE |
| KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ZENA AHMED AKIFURAHIA MOJA YA MAONYESHO YA KIVITA |
| MKUU WA KIKOSI CHA 838 MEJA EMMANUEL MURUGA AKIWA NA MGENI RASMI MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA |
| MEJA JEN SAMWEL KITUNDU (WA PILI KULIA) AMBAYE NI MKUU WA JKT MSTAAFU AKIANGALIA KWA MAKINI MAONYESHO YA WAHITIMU |
| BAADHI YA WAPIGANAJI WALIHUDHURIA HAFLA HIYO |
| BAADHI YA WAHITIMU WAKIONYESHA JINSI WALIVYOFUZU MAFUNZO YA KUKABILIANA NA ADUI |
| JINSI YA KUKABILIANA NA ADUI BILA SILAHA |
| LUTENI KANAL AHMED ABASI -MWAKILISHI WA MKUU WA JKT AKIZUNGUMZA WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI |
| BAADHI YA WAHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI JESHI LA KUJENGA TAIFA |
| BAADHI YA MAKAMANDA WALIOHUDHURIA HAFLA YA KUHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA JKT YA KUJITOLEA |

No comments: