Header Ads


ZIARA YA WAHARIRI KATIKA KIWANDA CHA SARUJI TANGA



BAADHI YA WAFANYAKAZI WA SIMBA CEMENT WAKISIKILIZA WAKATI MKURUGENZI MTENDAJI AKITOA MADA KWA WAHARIRI

BAADHI YA WAHARIRI WAKIMSIKILIZA MKURUGENZI MTENDAJI WA KIWANDA CHA SARUJI RENHARDIT SWAAT WAKATI WALIPOTEMELEA KIWANDA HICHO 




MKURUGENZI MTENDAJI WA KIWANDA CHA SARUJI TANGA REINHARDIT SWAATAKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI 


MENEJA MAWASILIANO SIMBA CEMENT AKITOA UFAFANUZI KWA WAHARIRI 

BAADHI YA WAHARIRI WALIPOTEMBELEA ENEO LINALOTUMIKA KUTOA MALGHAFI YA KUTENGENEZA SARUJI  




ZIARA YA WAHARIRI TANGA CEMENT




Hassan Hashim Tanga

Wahariri wa vyombo vya habari wameiomba serikali kutafuta  ufumbuzi wa matatizo yanayowakabili wawekezaji ili kuongeza kasi ya uuzalishaji katika   viwanda na kuinua uchumi wa nchi.

Kauli hiyo wameitoa mara baada ya  ziara ya kutembelea kiwanda cha saruji Tanga na kujionea shughuli za uzalishaji katika kiwanda hicho

Wamesema  dhamira ya serikali ya kufikia uchumi wa kati itazaa matunda endapo sekta ya viwanda itapewa kipaumbele kwa kutatua changamoto zinazosababisha kushuka kwa uzalishaji.

Aidha wamepongeza hatua ya  serikali kutwaa baadhi ya viwanda vilivyoshindwa kuendelezwa na kuwapatia wawekezaji wengene ambao watakidhi makubaliano kuzalisha na kuongeza ajira

Awali mkurungenzi mtendaji wa kiwanda cha saruji Tanga Reinhardt Swaat amesema  serikali iangalie uwezekano wa kuelekeza viwanda vya saruji kutumia malighafi (KLINKER)kutoka hapa nchini na  kujenga mtandao wa Reli ya kisasa kwenda mikoa mbalimbali ambayo itapunguza gharama za usafirishaji wa makaa ya mawe na saruji ili kukabiliana na ushindani wa kibishara.
mwisho.

No comments:

Powered by Blogger.