Header Ads


KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI MALI ASILI NA UTALII ILIPOTEMBELEA KITONGOJI CHA UVINJE WILAYANI BAGAMOYO AMBACHO KIMEKUWA NA MGOGORO NA TANAPA






WAJUMBE WA KAMATI Y7A KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI MALI ASILI NA UTALII WAKIWA KATIKA ENEO LENYE MGOGORO KATI YA KITONGOJI CHA UVINJE NA TANAPA




BAADHI YA WAJUMBE WAKAMATI YA BUNGE NA WANANCHI WA KITONGOJI CHA UVINJE WAKIPIATA KATIKA ENEO LINALOTARAJIWA KUJENGWA HOTEL NA MWEKEZAJI 

MWENYEKITI WA KITONGOJI CHA UVINJE HUSSEIN AKIDA AKITOA MAELEZO KWA  KAMATI YA BUNGE MAKUBALIANO BAINA YA KITONGOJI NA MWEKEZAJI 

MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ALHAJI MAJJID MWANGA(MWENYE SHATI LA MAUA) AKITOA MAELEZO KUHUSU MPAKA WA WILAYA YA PANGANI NA BAGAMOYO KATIKA  KITONGOJI CHA UVINJE.


JENGO LINALODAIWA KUWA NI LA MWEKEZAJI  KATIKA KIJIJI CHA UVINJE WILAYANI BAGAMOYO

NAIBU WAZIRI MALI ASILI NA UTALII RAMO MAKANI AKIELEZA JAMBO WAKATI WA ZIARA YA KAMATI YA BUNGE ILIPOTEMBELEA KITONGOJI CHA UVINJE  WILAYANI BAGAMOYO  

MWENYEKITI  WA KITONGOJI CHA UVINJE HUSSEIN  AKIDA AKIELEZEA HISTORIA YA KITONGOJI HICHO CHENYE JUMLA YA WAKAZI 70 KWENYE MKUTANO NA KAMATI YA BUNGE 


Add caption

No comments:

Powered by Blogger.