Header Ads


KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI MALI ASILI NA UTALII YATAKA MALI KALE ZIBORESHWE ILI KUVUTIA WATALII




MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKIWAKARIBISHA WABUNGE KWA NIBA YA MKUU WA MKOA

KAMATI YA BUNGE IKIWA KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA

WABUNGE WAKIWASILI KATIKA ENEO LA MAPNGO YA AMBONI 







KAMATI YA BUNGE WAKIPATA MAELEZO KABLA YA KUINGIA NDANI YA PANGO 



WABUNGE WAKIANAGALIA MAUMBO MBALIMBALI NDANI YA MAPANGO YA AMBONI 




WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE  ARDHI MALI ASLI NA UTALII WAKIANGALIA ATHARI ZA MMOMONYOKO WA  KINGO ZA MTO  KATIKA MAPANGO YA AMBONI


WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE WAKIWA NADANI YA PANGO 

MJUMBE WA KAMATI YA BUNGE GRACE KIWELU AKIZUNGMZA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUTEMBELEA MAPAMGO YA AMBONI 

NAIBU WAZIRI MALI ASILI NA UTALII RAMO MAKANI AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE WALIPOTEMBALEA MAPANGO YA AMBONI.


Na Hassan Hashim Tanga.

Serikali imetakiwa kuweka mkakati wa  kuimarisha vivutio vya utalii vya asili ili kuviongezea thamani na kuvutia watalii wengi zaidi.

Rai hiyo imetolewa na baadhi ya wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi , mali asili na utalii mara baada ya kutembelea mapango ya Amboni mkoani tanga.

Wamesema Tanzania ni moja ya nchi ambazo zina vivutio vingi vya malikale lakini imeshindwa kuvitumia ipasavyo na kulongeza mapato kupitia sekta ya utalii

Akizungumzia mkakati wa serikali kuhusu uboreshaji wa vivutio vya asili Naibu waziri  mali asili na utalii mhandisi Ramo Makani amesema mwelekeo uliopo hivi sasa ni kuongeza nguvu ya uwekezaji kwa  kutangaza vivutio vya mali kale ili kushawishi watalii wengi kutembelea.

Kwa upande wake kaimu mkurugenzi idara ya mambo ya kale Digna Tilya amesema wizara malia asili kwa kushirikiana na wizara ya madini watahakiki mipaka ya maeneo ya mapango ya amboni ili kukabilaina uharibifu ulipuaji myamba kwa ajili ya kokoto na mawe

……………………………





            


No comments:

Powered by Blogger.