Header Ads


HAFLA YA KUKABIDHI MSAADA WA SARUJI







MENEJA WA KIWANDA CHA SARUJI  B. LEMA AKIMKABIDHI MEYA WA MANISPAA YA SHINYANGA MIFUKO 500 YA SARUJI KWA AJILI YA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA NA ELIMU 



MEYA WA MANISPAA YA SHINYANGA GULAM MUKADAM AKIZUNGUMZA MARA BAADA YA KUPOKEA MSAADA WA MIFUKO 500 YASARUJI 

KATIBU TAWALA MSAIDIZI  SEKRETARIETI MKOA WA TANGA RADHIA  NSUYA AKIZUNGUMZA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA MARTINE SHIGELA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI MSAA DAWA SARUJI

Na, HASSAN HASHIM, TANGA.

Halmashauri ya manispaa ya shinyanga imepokea msaada wa mifuko 500 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu katika  sekta ya afya na ujenzi wa vyoo katika shule mbalimbali wilayani humo .

Akizungumza katika hafla ya kupokea msaada huo meya wa halmashauri Shinyanga  mstahiki Gulam Mukadam amesema saruji hiyo  itasaidia ukarabati wa vyumba vya madarasa  na ujenzi wa vyoo  katika shule.

Amesema uboreshaji wa sekta ya elimu ndiyo njia pekee itakayo saidia juhudi za serikali katika azma ya kuimarisha uchumi wa viwanda .

Awali akikabidhi saruji hiyo  meneja wa kiwanda hicho mhandisi Bernad Lema amesema wametoa msaada huo ikiwa ni kutekeleza sera ya kampuni hiyo ya kutoa sehemu ya faida yake  kwa jamii na na kuunga mkono juhudi za serikali  kuimarisha sekta ya elimu
  

……………………………………………….

No comments:

Powered by Blogger.