PICHA MBALIMBALI ZIARA YA NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI ABDALAH ULEGA KATIKA KIWANDA CHA TANGA FRESH
| MENEJA WA KIWANDA CHA KUCHAKATA MAZIWA TANGA FRESH MICHAEL KARATAKITOA TAARIFA KWA NAIBU WAZIRI MIFUGO ABDALAH ULEGA ALIPOTEMBELEA KIWANDA HICHO |
| AFISA MIFUGO MKOA WA TANGA DKT ZODIAC LYIMO AKIWANA KATIBU TAWALA WILAYA WAKIMSIKILIZA NAIBU WAZIRI |
| NAIBU WAZIRI MIFUGO AKIANGALIA UCHAKATAJI WA MAZIWA |
| NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI ABDALLAH ULEGA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI |
| NAIBU WAZIRI AKIZUNGUMZANA BAADHI YA WADAU WA MAZIWA KUTOKA UHOLANZI |

No comments: