Header Ads


KONGAMANO LA KITAALUMA ECKERNFORDE KUHUSU VITA KUU YA DUNIA ILIYOPIGANWA MWAKA 1914(THE BATTLE OF TANGA)

BAADHI YA WASHIRIKI WA KONGAMANO

WANAFUNZI WA SHULE MBALI MBALI ZA SECONDARI NI MIONGONI MWA WASHIRIKI



NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO CHA ECKERNFORDE PROF. EGNALD MIHANJO AKIZUNGUMZA KATIKA KONGAMANO HILO


MMILIKI WA CHUO CHA ECKERNFORDE  MZEE TARIMO AKIPOKEA CHETI KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA KUENDELEZA  ELIMU 



MAKMU MKUU WA CHUO PROF JOHN KIANGO AKIPOKEA CHETI CHA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA TAALUMA 

Add caption

MAKAMU MKUU WA CHUO CHA ECKERNFORDE PRF.JOHN KIANGO 

MWENYEKITI WA CHAMA CHA HISTORIA DKT OSWALD MASEBO AKIWASILISHA MADA KUHUSU VITA YA TANGA 


DKT MASEBO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI 


JIWE LA MNARA WA KUMBUKUMBU YA ASKARI MASHUJAA WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA VITA KUU YA DUNIA 


MNARA WENYE MAJINA YA ASKARI WA UJERUMANI  NA TANGANYIKA  WALIOPIGANA VITA YA KWANZA YA DUNIA MWAKA 1914 KWA MAJESHI YA WAJERUMANI 

 KABURI LA KAMANDA WA VITA HIVYO (SAKARANI )KWA MAJESHI YA WAJERUMANI
MHIFADHI WA MAKABURI YA SAKARANI  KUTOKA TAASISI YA TANGA URITHI  BW JOEL

MAKABURI YA ASKARI WALIOPIGANA VITA YA KWANZA YA DUNIA 1914  KWA MAJESHI YA WAINGEREZA 

Hassan Hashim Tanga.

Baadhi ya wanazuoni  na wakazi wa jiji la tanga wameoiomba Serikali kuwekeza katika kuhifadhi  na kuitangaza historia ya Tanga ili  iweze kutumika kama kivutio cha  Utalii na kuinua uchumi wa nchi.

Rai hiyo  imetolewa nana baadhi ya washiriki wa kongamano la kitaaluma la siku moja la kujadili tukio la kihistoria la vita kuu ya kwanza ya dunia iliyojulikana kama ( The Battle of Tanga ) lililoandaliwa na chuo kikuu cha Eckenrforde  cha jijini hapa .

Wamesema Tanga imebahatika kuwa na vivutio vya kihistoria ikwemo majengo ya  kale na ujenzi wa taifa katika karne ya 19  ikiwemo viwanda miundombinu ya reli,  bandari pamoja na  mahusiano ya mataifa mbalimbali ya nje lakini havijatumika ipasavyo kama sehemu ya utalii wa kihstoria

Kwa upande wao wadau uhifadhi wa  makumbusho ya tanga wamesema bado ipo changamoto kwa idara inayohusika na mambo kale kuweka kumbumbu ambazo zinaweza kutumika kwa utalii na upande mwingine  elimu kwa jiana wa kitanzania

 Historia mapigano ya vita ya kwanza ya dunia kati ya majeshi ya Uingereza na Ujerumani yalifanyika eneo la jasini na bandari ya  tanga kati ya November  2-5  1914 ambapo askari waliopoteza maisha walizikwa katika maeneo mbalimbali jijini hapa.

……………………………….



No comments:

Powered by Blogger.