KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) IMEITAKA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA KUSHIRIKIANA NA WATAALAMU KUTOKA TAMISEMI WAKATI WA KUINGIA MIKATABA NA WAWEKEZAJI KUTOKA NJE ILI KUEPUSHA MIGOGORO WAKATI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
MKUU WA WILAYA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKIKARISHA WAJUMBE KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA. |
WATENDAJI WA HALMASHAURI YA JIJI WAKISIKILIZA MAELEKEZO YA KAMATI YA BUNGE |
MEYA WA JIJI LA TANGA MUSTAPHA MHINA AKIZUNGUMZA WAKATI WA ZIARA YA KAMATI YA BUNGE |
WAJUMBE WA KAMATI YA ULINZI WILAYA YA TANGA |
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) WAKIKAGUA MIRADI INAYOSIMAMIWA NA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA |
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) IKIKAGUA BAADHI YA MAJENGO YA SHULE YA SEKONDARI NDAOYA JIJINI TANGA |
MAENEO YA UWEKEZAJI YALIYOTENGWA NA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA |
WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE WAKIKAGUA ENEO LA UCHIMBAJI AMBALO LIMETENGWA KWA AJILI YA VIJANA |
HAPA NI SOKO LA MGANDINI KAMATI IMESHURI KUBORESHWA KWA MIUNDOMBINU YA SOKO HILO |
MRADI WA MAJI SAFI MWARONGO |
No comments: