Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina azindua madume bora ya kisasa kutoka nchi ya South Africa na New Zealand yaliyoletwa nchini kwa ajili ya uzalishaji wa mbegu bora za mifugo.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina na
ujumbe wake alipotembelea kituo cha Taifa cha uzalishaji Mbegu bora za Mifugo kwa njia ya chupa,
(NAIC) kilichopo Mjini Arusha.
Katikati ni Katibu Mkuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo akisoma
Hotuba katika zoezi la uzinduzi wa madume ya kisasa ya mbegu bora za Ng’ombe
katika kituo cha taifa cha uzalishaji mbegu bora kilichopo mjini Arusha,
Kushoto ni waziri wa Mfugo na Uvuvu Mhe. Luhaga Mpina, na kulia ni Mkurugenzi
wa Uzalishaji Mifugo na Masoko wa Wizara
hiyo, Dkt.Lowlence Asiimwe.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina (katikati )akiangalia dume bora la kisasa kutoka nchi ya New Zealand katika kituo cha
Taifa cha Uhimilishaji cha (NAIC) Arusha jana alipokuwa katika ziara maalum ya
uzinduzi wa Madume hayo.kulia ni Dkt
Paul Mollel, Mkurugenzi wa Kituo hicho
No comments: