Header Ads


TANGA UWASA YAINGIA MKATABA WA MKUBALIANO NA KAMPUNI JUIN LIMITED KUTEKELEZA MRADI WA MAJI LUSHOTO UTAKAO GHARIMU KIASI CHA SHILINGI MILIONI 700.




KAIMU MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI JIJINI TANGA (TANGA UWASA) MHANDISI. PHARES ARAM AKITOAMAELEZO KWA WANAHABARI.WAKATI WA UTIAJI SAINI MKATABA WA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO UTAKAO GHARIMU KIASI CHA SHILINGI MILIONI 700.

ENG. JUSTICE KATO MKURUGENZI WA KAMPUNI YA JUIN LIMITED.


KAIMU MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI JIJINI TANGA (TANGA UWASA) MHANDISI. PHARES ARAM KUSHOTO AKITETA NENO NA MBUNGE WA JIMBO LA LUSHOTO MJINI SHABANI SHEKILINDI WAKATI WA UTIAJI SAINI MKATABA WA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO


MBUNGE WA JIMBO LA LUSHOTO MJINI SHABANI SHEKILINDI AKIZUNGUMZA WAKATI WA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO.

KAIMU MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI JIJINI TANGA (TANGA UWASA)
ENG. PHARES ARAM KUSHOTO AKITIA SAINI YA MAKUBALIANO YA MKATABA WA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO KULIA NI
ENG. JUSTICE KATO MKURUGENZI WA KAMPUNI YA JUIN LIMITED.

KAIMU MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI JIJINI TANGA(TANGA UWASA) ENG. PHARES ARAM KUSHOTO NA
ENG. JUSTICE KATO MKURUGENZI WA KAMPUNI YA JUIN LIMITED.WAKIPEANA MIKNO BAADA YA KUSAINI MKATABA WA MAKULIANO YA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO UTAKAOTEKELEZWA KWA KIPINDI CHA MIEZI NANE

KAIMU MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI JIJINI TANGA(TANGA UWASA) ENG. PHARES ARAM KUSHOTO NA ENG. JUSTICE KATO MKURUGENZI WA KAMPUNI YA JUIN LIMITED WAKIONYESHA HATI ZA MAKUBALIANO YA MKATABA WA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO UTAKAOGHARIMU KIASI CHA SIHILINGI MILIONI 700 AMBAO UTATEKELEZWA KWA KIPINDI CHA MIEZI NANE.

BAADHI YA WATUMISHI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA (TANGAUWASA) KATIKATI NI MBUNGE WA LUSHOTO MJINI SHABANI SHEKILINDI KULIA NI KAIMU MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI JIJINI TANGA(TANGA UWASA) ENG. PHARES ARAM NA KUSHOTO NI ENG. JUSTICE KATO MKURUGENZI WA KAMPUNI YA JUIN LIMITED WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA.

MBUNGE WA LUSHOTO MJINI SHABANI SHEKILINDI KUSHOTO AKIBADILISHANA MAWAZO NA AFISA HABARI WA MAMLAKA WA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA (TANGA UWASA) BI. DORA KILLO BAADA YA KUTIA SAINI YA MAKUBALIANO YA MKATABA WA MRADI WA MAJI LUSHOTO.

No comments:

Powered by Blogger.