Header Ads


WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO UMMY MWALIMU AKICHEZA NGOMA YA MSANJA NA AKINAMAMA WAKATI WA UZINDUZI WA CHANJO YA SRATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA WASICHANA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 15

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA DAUD MAYEJI AKIMWELEZA WAZIRI WA AFYA MAENDEELO YA UPANUZI WA KITUO CHA AFYA NGAMIANI WAKATI WA UZINDUZI WA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI 


MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWLAPWA KATIKATI AKIMWELEZA JAMBO WAZIRI WA AFYA (KUSHOTO) KULIA NI MKURUGENZI WA JIJI LA TANGA DAUD MAYEJI
BAADHI YA WASICHAN WAKIWA NA VIONGOZI KABLA YA KUPATA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI




WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YAJAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO UMMY MWALIMU AKIZUNGUMZA KABLA YA KUZINDUA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA WASICHANA CHINI YA MIAKA 15



MEYA WA JIJI LA TANGA  MHINA MUSTAFA SELEBOS AKIZUNGUMZA WAKATI WA HAFLA YA  UZINDUZI  WACHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI WA WASICHANA WENYE UMRI WA MIAKA 14 MKOANI TANGA.



Hassan Hashim Tanga.

Waziri wa Afya maendeleo ya jami jinsia  wazee na watoto Ummy Mwalimu amewataka wakuu wa Mikoa na Halmashauri kutenga siku  moja  kila mwezi kwa ajili ya kutoa huduma za upimaji wa saratani za aina mbalimbali ikiwemo tezi dume .

Kauli hiyoa ameitoa wakati akizindua utoaji wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri wa chini ya miaka 15 mkoani Tanga.

Amesema upimaji wa saratani ndio njia pekee itakayowezesha wananchi kujitambua  mapema ambapo watakaogundulika katika hatua za  awali wanaweze kupatiwa matibabu na kupona.

Aidha Waziri Ummy amewataka watumishi wa afya kutotoa chanjo kwa watoto  ambao wazazi wao au walezi hawajaridhia
.
Awali  akizungunza katika uzinduzi huo kaimu Mkuu mganga mkuu wa mkoa wa Tanga Dkt Clemence Marcel amesema mkoa wa tanga  unatarajia kutoa chanjo kwa wasichana 38,000  wakiweomo wanafunzi  na makundi mengine.


…………………….

No comments:

Powered by Blogger.