Meya wa jiji la Tanga Mhina Mustafa (Selebos) katikati akikagua nyaraka katika kikao cha Baraza la madiwani ambapo watumishi 12 walichukuliwa hatua mbalimbali za kinidhamu Kushoto kwake ni Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri Daudi Mayeji kulia kwake ni Naibu Meya Mohamed Haniu
No comments: