BEI YA KOROSHO IMEENDELEA KUPAA KUTOKA SHILINGI 2650 MWEZI JANUARI HADI KUFIKIA SHILINGI 3800 KWA KILO MOJA KATIKA MNADA ULIOFANYIKA AMCOS YA DUGA.
SHABANI MPEMBA AFISA KILIMO KOROSHO AKISOAMA MAJINA YA KAMPUNI ZILIZOJITOKEZA KUNUNUA KOROSHO KATIKA MNADA HUO |
AFISA WA BODI YA KOROSHO MKOA WA TANGA BW..MFUTA KAMBA AKITOA MAELEZO KABLA YA MNADA |
BW. VUNDE ATHUMN KUSHOTO NA MBWANA MAMBOLEO WAKIWA KATIKA GHALA LA KOROSHO DUGA |
MGENI RASMI KAIMU KURUGENZI WILAYA MKINGA LINGTON ZAMBI AKIFUNGUA SANDUKU LA MNADA |
WAKULIMA WA AMCOS YA DUGA WAKIJAZA KOROSHO KATIKA MAGUNIA |
No comments: