Naibu waziri wa nishati na madini Medard Kalemani amesema Serikali itawafutia leseni wachimbaji madini ambao wameshindwa kutekeleza masharti kauli hiyo ameitoa wakati walipokutana na Naibu waziri wa Mazingira Luhaga mpina katika Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tanga wakiwa kwenye ziara tofauti
Reviewed by
Unknown
on
3/06/2017 07:44:00 pm
Rating:
5
No comments: