Header Ads


UHIC YAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA

MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA MHINA MUSTAFAAKIWA NA MKURUGENZI WASHIRIKA LA UHIC LEE KWENWOON (KUSHOTO) KWAKE BAADA YA KUKABIDHIWA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI KWA AJILI YA KUSADIA WANNCHI WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO HIVI KARIBUNI WENGINE NI MAOFISA WA JIJI NA WAFANYAKAZI WASHIRIKA HILO
VIVIANE AKIWAFARIJI WAATHIRIKA  BAADA YA KUKABIDHIWA VYANDARUA
MEYA WA JIJI LA TANGA MSTHIKI MHINA MUSTAFA (SELEBOS) AKIGAWA VYANDRUA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KATIKA SHULE YA MSINGI KWAKAHEZA






No comments:

Powered by Blogger.