Header Ads


USHIRIKIANO WA KIJESHI KWA NCHI ZA SADC UTASAIDIA KUONDOA MIGOGORO AFRIKA DKT. MAHIGA

KIONGOZI WA OPERESHENI MATUMBAWE MEJA JEN. HARRISON MASEBO AKIMWELEZA JAMBO MGENI RASMI  WAZIRI WA MAMBO YA NJE DKT. AGUSTINE MAHIGA WAKTI WA KUFUNGA ZOEZI LA KIJESHI LA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC 


BAADHI YA MAKAMNDA WA NCHI ZILIZOSHIRIKI ZOEZI LA PAMOJA LA KIJESHI KWA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC

ASKARI WA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC WAKIWA KATIKA ZOEZI LA KUDHIBITI UHARAMIA WA KUTEKA MELI 












MKUU WA JESHI LA ULINZI JENERAL VENANCE MABEYO AKIZUNGUMZA WAKATI WA KUFUNGA ZOEZI LA PAMOJA LA KIJESHI KWA NCHI ZA SADC  KULIA NI MKUU WA OPERESHENI MATUMBAWE MEJA JENERAL HARRISSON MASEBO 

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA DKT AUGUSTINE MAHIGA AKIZUNDUA MRADI WA MAJI AMBAO UMEFADHILIWA NA NCHI ZA SADC









MKUU WA JESHI LA ULINZI JENERALI VENANCE MABEYO AKIZUNGUMZA KATIKA HFLA YA KUFUNGA ZOEZI LA PAMOJA LA KIJESHI KWA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC

MGENI RASMI WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKAINO WA KIMATAIFA DKT. AUGUSTINE MAHIGA AKIFUNGA ZOEZI LA KIJESHI  (OPERESHENI MATUMBAWE) KWA NCHI ZA SADC 



BAADHI YA VIONGOZI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WAKATI WA KUFUNGA ZOEZI LA KIJESHI KWA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC
 Hassan Hashim Tanga.

Waziri wa mambo ya nje ushirikiano wa kimataifa na kikanda Dkt Augustine Mahiga amesema ushirikiano wa ulinzi wa majeshi ya nchi za Jumuiya ya SADC  umekua mkombozi na tegemeo kubwa katika kutatua migogoro barani  afrika .

Kauli hiyo ametoa wakati akifunga mafunzo ya mwezi mmoja  ya kijeshi nchi za jumuiya ya SADC yaliyofanyika  wilayani muheza mkoani Tanga.

Dkt Mahiga amesema kuwepo kwa ushirikiano huo wa majeshi ni mkakati maalum wa kuimarisha ulinzi katika nchi za ukanda huo pamoja na kukabilana na matishio ya ugaidi biashara haramu na uharamia


Akizungumzia mafanikio ya zoezi hilo waziri Mahiga amesema limimarisha   ushirikiano na raia kutokana na kuishiriki katika shughuli mablimbali za kijamii

Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya muheza   Luiza Mlelwa ameshukuru majeshi ya nchi za SADC kutokana na msaada wa ukarabati wa miundombinu ya maji na kutoa huduma za afya wakti wa zoezi hilo.
.

Zoezi hilo la kijeshi lililopewa jina la Matumbawe limejikita katika kukabiliana na vitendo vya ugaidi na uharamia wa kuteka meli.

……………………………… 


No comments:

Powered by Blogger.