Header Ads


WAZIRI TAMISEMI SULEIMAN JAFO AKITOA MAELEZO KWA WATENDAJI WA SEREKALI JIJINI TANGA

MKUU WA WILAYA THOBIAS MWILAPWA AKITOA MAELEZO KUHUSU UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO  JIJINI TANGA KWA WAZIRI TAMISEMI  SULEIMAN JAFO 

 






WAZIRI TAMISEMI  SULEIMAN JAFO AKIWEKA JIWE LA MSINGI KIOMONI

WAZIRI TAMISEMI  SULEIMAN JAFO AKIHUTUBIA WANANCHI NA WATENDAJI SHULE YA MSINGI BOMBO

MAJENGO MAPYA YA SHULE YA MSINGI BOMBO BAADA YA MAJENGO YA ZAMANI KUSITISHWA KUTUMIWA KUTOKANA NA UCHAKAVU




JENGO LA ZAMANI LA SHULE YA MSINGI BOMBO LILILO SITISHWA MATUMIZI KUTOKANA NA UCHAKAVU



WAZIRI TAMISEMI SULEIMAN JAFO 

























Hassan Hashim Tanga.

Halmashauri nchini zimetakiwa kuongeza juhudi ya kuboresha miundombinu katika shule za serikali ili kuondoa dhana iliyojengeka kwamba  elimu bora inapatikana katika shule binafsi.

Kauli hiyo imetolewa na waziri wa nchi ofisi ya Rais tamisemi Suleiman Jafo wakati ziara yake mkoani hapa.

Amesema  kushuka kwa kiwango cha taaluma katika shule za serikali kumechangiwa uchakavu wa miundombinu na kwamba serikali imejipanga kuzikarabati shule kongwe hapa nchi


Akizungumza katika ufunguzi wa bweni la shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalum ya Pongwe  waziri Jafo amewataka wamiliki wa viwanda vya saruji mkoani Tanga kusaidia mifuko 500 kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika shule hiyo  ili kuimarisha usalama

Awali akisoma risala kwa mgeni rasmi Mkurungenzi wa taasisi ya kusaidia jamii CDTF Henry Mgingi amesema lengo ujenzi wa wa bweni ni kuongeza ulinzi kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na wale wenye uoni hafifi wanasoma kati ka shuel hiyo.

Katika ziara hiyo waziri Jafo alitembelea eneo la uwekezaji wa viwanda Pongwe ujenzi wa stand na shule mbalimbali za jijini hapa


…………………………

No comments:

Powered by Blogger.