Header Ads


BANDARI YA TANGA YAJIPANGA KUONGEZA UFANISI KATIKA UTOAJI WA HUDUMA

Meneja wa Bandari Tanga Percival Salama akizungumza na Waandishi wa Habari mkoani Tanga kuhusu mipango na mikakati ya bandari hiyo kulia ni Afisa mipango wa Bandari Bi. Moshi Mtambalike. 

Baadhi ya waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua  taarifa katika mkutano huo.

Meneja wa Bandari Tanga Percival Salama katikati kushoto ni Afisa mipango wa Bandari Bi. Moshi Mtambalike kulia ni Afisa Utekelezaji Mkuu wa Bandari hiyo Donald Ngaile na pembeni ni Afisa habari na mahusiano Bandari yaTanga Bi. Moni Jarufu
Afisa habari na mahusiano Bandari yaTanga Bi. Moni Jarufu akizungumza katika mkutano Waandishi wa Habari.


No comments:

Powered by Blogger.