Header Ads


MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAPEWA AGIZO

Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu akiongea na washiriki wa mafunzo ya ujasiria mali


Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu akitenta jambo na DC wa Wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na katibu tawala mkoa Tanga ENG. Zenna Said

Washiriki wa mafunzo


DOTO MNYADI MENEJA MAWALIANO BRAC 

DC TANGA BW. THOBIAS MWILAPWA AKISALIMIA  WASHIRIKI

Katibu Tawala mkoa Tanga ENG. Zenna Said



Washiriki wakikabidhiwa vifaa


Waziri wa  afaya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu ametoa wiki mbili kwa Maafisa maendeleo ya jamii kukusanya taarifa sahihi na kuziwasilisha kweke zikibainisha kiasi cha fedha zilizotolewa na halmashuri kwa ajili ya kusaidia  vikundi vya akinamama wasiriamali nchini.

Agizo hilo amelitoa wakati akifunga mafunzo ya wajasiriamaili yaliyotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Brac jijini hapa

 Amesema serikali haitawavumilia maafisa maendeleo ya jamii watakao shindwa kutekeleza wajibu wao na kuahidi kwachukulia hatua za kinidhamu .
                        
Kwa upande wake meneja  mawasiliano wa shirika la Brac Doto Mnyadi amesema kupitia mradi huo shirikal limeweza kutoa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 100 na 53 kwa wanafunzi 700 waliopata mafunzo

Wakizungumza katika hafla hiyo baadhi ya wahitimu wa mafunzo wamesema elimu waliyopata pamoja na vifaa wataitumia kuboresha miradi yao.


No comments:

Powered by Blogger.