HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YATOA MIKOPO YA SHILINGI MILIONI KUMI KWA WAJASIRIAMALI
| Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza Bakari Mhando na mkurugenzi wa Halmashauri wakiwa katika hafla ya kukabidhi mikopo kwa vikundi vya wajasiriamali |
| baadhi ya watendaji na madiwani wakikatika hafla ya kukabidhi mikopo |
| Add caption |
| Afisa maendeleo ya jamii Vije Mfaume akitoa maelezo kuhusu mikopo ya asilimia tano inayotolewa na halmashauri kupitia makusanyo ya mapato ya ndani |
| Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya muheza Luiza Mlelwa akizungumza kabla ya kumkaribisha mwenyekiti |
| Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanaasha Tumbo akizungumza katika hafla hiyo |
| Kikundi cha vijana cha malihai ambacho kimekabidhiwa mkopo wa milioni tano kwa ajili ya kununua mashine ya kufyatua matofali |
| Kikundi cha akinamama cha Tutunze Mazingira kikipokea hundi kwa ajili ya kununua pikpiki ya tairi tatu kwa ajili ya shughuli za uzoaji wa takataka |
| Add caption |

No comments: