Ziara ya kamati ya uendeshaji ya mradi wa kunusuru vyanzo vya maji kupitia matumizi endelevu ya ardhi ilipotembelea chanzo cha mto Zigi
wajumbe wa kamati ya uendeshaji ya mradi wa kunusuru vyanzo vya maji kupitia matumizi endelevu ya ardhiikiwa ofisini kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza |
wajumbe wa kamati walipotembelea mto kihuhwi wilayani Muheza |
wajumbe wakipata maelezo ya upimaji wa kiwango cha maji |
Mratibu wa Mazingira Tanga uwasa Ramadhani Nyambuka akieleza kamati ushirikiano wa utunzaji mazingira na kikundi cha Uwamakizi |
Kikundi cha hamasa cha Uwamakizi kikitoa burdani |
wajumbe wa kamati wakiangalia uharibifu wa mazingira uliofanywa na wachimbaji haramu wa madini katika eneo la Kihara |
Uharibifu unaofanywa na wachimbaji haramu wa madini katika chanzo cha mto Zigi |
Katibu tawala Mkoa wa Tanga Zena Said (kushoto) mwenye kofia akiwa na Mhifadhi wa msitu wa asili Amani Bi Mwanaid Kijazi wakiwa katika maeneo yaliyo athiriwa na uchimbaji haramu wa madini |
wajumbe wa kamati wakiangalia uharibifu wa mazingira uliofanywa na wachimbaji haramu wa madini
Baadhi ya vifaa vya wachimbaji haramu wa madini ambavyo vimekamatwa katika msako maalum |
No comments: