HAFLA YA UZINDUZI WA VYUMBA VITATU VYA MADARASA SHULE YA MSIMGI KIWANDA WILAYANI MUHEZA
VYUMBA VITA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI KIWANDA AMBAVYO VIMEJENGWA KWA GHARAMA YA SHILINGI MILIONI 26 |
MKUU WA MKOA MARTIN SHIGELA AKIKATA UTEPE KUZINDUA VYUMBA VYA MADARASASHULE YA MSINGI KIWANDA |
MKUU WA WILAYA YA MUHEZA MHANDISI MWANASHA TUMBO AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI HUO |
MBUNGE WA MUHEZA BALOZI ADADI RAJABU AKISALIMIA WANANCHI WALIOHUDHURIA HAFLA HIYO |
MWENYEKITI WA MDTF FAROUQ BAGHOZAAKITOA NASAHA KWA WAZAZI NA WANAFUNZI |
NI WAKATI WA BURDANI KWAYA YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KIWANDA |
MWALIMU MKUU SHULE YA MSINGI KIWANDA JULIAS CHAMUNGWANA AKISOMA RISALA |
BAADHI YA VONGOZI NA WANANCHI WALIOHUDHURIA HAFLA HIYO |
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA AKIHUTUBIA WANANCHI KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA VYUMBA VITATU VYA MADARASA SHULE YA MSINGI KIWANDA |
No comments: