Header Ads


PICHA MBALIMBALI HAFLA YA KUHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KUJITOLEA JESHI LA KUJENGA TAIFA 838 MARAMBA


MKUU WA MKOAMARTIN SHIGELA  AKIKAGUA WAHITIMU WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO 







HESHIMA KWA MWENDO WA POLE 


HAPA NI HESHIMA KWA MWENDO WA HARAKA 

KWATA YA NGUVU VIJAN WAKIONYESHA KUWA WA MEHITIMU 




BENDI YA JESHI LA WANANCHI JWTZ IKIONGOZA GWARIDE KUFUNGA MAFUNZO JKT MARAMBA

WAHITIMU WAKIWA KATIKA ZOEZI LA SINGE


KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ZENA AHMED AKIFURAHIA MOJA YA MAONYESHO YA KIVITA

MKUU WA KIKOSI CHA 838 MEJA EMMANUEL MURUGA AKIWA NA MGENI RASMI MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA 

MEJA JEN SAMWEL KITUNDU (WA PILI KULIA) AMBAYE NI MKUU WA JKT MSTAAFU AKIANGALIA KWA MAKINI MAONYESHO YA WAHITIMU 


BAADHI YA WAPIGANAJI WALIHUDHURIA HAFLA HIYO


BAADHI YA WAHITIMU WAKIONYESHA JINSI WALIVYOFUZU MAFUNZO  YA KUKABILIANA NA ADUI 


JINSI YA KUKABILIANA NA ADUI BILA SILAHA





LUTENI KANAL AHMED ABASI -MWAKILISHI WA MKUU WA JKT AKIZUNGUMZA WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI
BAADHI YA WAHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI  JESHI LA KUJENGA TAIFA




BAADHI YA MAKAMANDA WALIOHUDHURIA HAFLA YA KUHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA JKT YA KUJITOLEA 

No comments:

Powered by Blogger.