PICHA MBALIMBALI ZA KIBOKO ALIYEUWAWA PWANI YA BAHARI TANGA
HUYU NI KIBOKO JIKE BAADA YA KUWAWA NA MAAFISA WA MALIASILI BAADA KUVAMIA MAENEO YA PWANI YA BAHARI NA KUTISHIA USALAMA WA WANANCHI |
KWA KAWAIDA KIBOKO HUISHI KWENYE MAENEO YA MITO NA MAJI BARIDI LAKINI KIBOKO HUYU ALIKUTWA MAENEO YA BAHARI AKIVINJARI NA KUTISHIA USALAMA WA WANANCHI |
WANANCHI WAKISAIDIANA NA MAAFISA WA MALI ASILI KUCHUNA NGOZI YA KIBOK KWA AJILI YA KWENDA KUHIFADHIWA |
No comments: