HAFLA YA KUSAINI MKATABA WA UWEKEZAJI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA NA KAMPUNI YA SHAWCOR
JENGO LA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA |
MENEJA W KAMPUNI YA SHAWCOR AKITIA SAINI MKATABA WA MAREJEO KUONYESHA NIA YA KUWEKEZA KATIKA ENEO LA PONGWE |
BAADHI YA MAAFISA WA HALMASHAURI WAKISHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA MAREJEO KWA AJILI YA ENEO LA UWEKEZAJI KAMPUNI YA SHAWCOR ITALIPA DOLA 30,000 KWA MWEZI SAWA NA MILIONI 60,000 |
MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA MHINA MUSTAFA SELEBOS AKIBADILISHANA HATI ZA MKATABA NA MENEJA BIASHARA NA MAENDELEO WA KAMPUNI YA SHAWCOR INAYOTAKA KUWEKEZA KATIKA ENEO LA UKUBWA WA SQ METER 600,000 |
SEHEMU YA ENEO AMBALO KAMPUNI YA SHAWCOR IMEONYESHA NIA YA KUWEKEZA KWA KUSAINI MKATABA NA HALMASHAURI YA JIJI |
No comments: