HAFLA YA UZINDUZI WA TAWI LA NMB MKATA
BAADHI YA MAMENEJA WAKIWA KTIKA HFALA YA UZINDUZI WA TAWI LA NMB MKATA |
WAZIRI WA KILIMO CHARLES TZEBA AKISALIMIANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NMB INIKE BUSSMAKER WAZIRI ALIKUA NJIANI AKITOKEA TANGA KWENYE MKUTANO WA WADAU WA MKONGE |
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA AKITETA JAMBO NA MKURUGENZI WA NMB WAKATI WA HAFLA YA UZINDUZI WA TAWI LA NMB MKATA |
ABDULMAJID SEKELA MKURUGENZI UENDESHAJI HUDUMA ZA WATEJA WADOGO NA MATAWI (KUSHOTO ) AKIWA N MKURUGENZI MTENDAJI WA NMB INEKA BUSSMAKER |
MKURUGENZI MTENDAJI WA NMB INEKE BUSSEMAKER AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA TAWI LA MKATA WILAYANI HANDENI |
ABDULMAJID SEKELA MKURUGENZI UENDESHAJI HUDUMA ZA WATEJA WADOGO NA MATAWI AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA TAWI LA NMB |
MKUU WA MKOA MARTNE SHIGELA AKIHUTUBIA WANANCHI WA MKATA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA TAWI LA NMB |
Add caption |
MGENI RASMI KUU WA MKOA AKIKATA UTEPE KUZINDUA |
No comments: