ZIARA YA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAJI MOROGORO (MORUWASA)KWAUMOJA WA WAKULIMA WATUNZA MAZIGIRA(UWAMAKIZI) WILAYANI MUHEZA
MKUU WAWILAYA YA MUHEZA MHANDISI MWANASHA TUMBOAKIPTA TAARIFA KUTOKA KWA WJUMBE WA BODI YA MAJI MORUWASA KABLA YA KWENDA KUTEMBELEA VYANZO VYA MAJI. |
WAFANYAKAZI WA TANGAUWASA NA WAJUMBE WA MORUWASA MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA KIJIJI CHA MIANGA WILAYANI MUHEZA |
KATIBU TAWALA MKOA WA MOROGORO CLIFORD NA WAJUNBE WA BODI YA MORUWASA AKIPATA MAELEZO YA KITALU CHA MITI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA UWAMAKIZI |
KIKUNDI CHA HAMASA CHA UWAMAKIZI KIKTUMBUIZA WAGENI KATIKA KIJIJI CHA MIANGA |
AFISA MAZINGIRA TANGA WUASA AKITOA MAELEZO KWA WAGENI KATIKA KIJIJI CHA MIANGA |
AKINAMAMA WA KIJIJI CHA MASHEWA WALOFIKA KUPOKEA WAGENI |
MZEE SABAI ALIYEVAA PENSI MMOJA WA WAFUGAJI WALIONUFAIKA NA MAFUNZO YA SHUGHULI MMBADALA ZA UTUNZAJI MAZINGIRA |
AKINA MAMA WA KIKUNDI CHA SHINDA UVIZU AMBAO WAMEPATA MAFUNZO YA SHUGHULI MBADALA ZA UTUNZAJI MAZINGIRA KUPITIA UMOJA WA UWAMAKIZI |
No comments: