Header Ads


PICHA MBALIMBALI ZIARA YA MKUU WA MKOA WA TANGA WILAYANI MUHEZA

MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA LUIZA MLELW AKISOMA TAARIFA KWA MKUU WA MKOA WA TANGA  MARTINE SHIGELA 


BAADHI YA WATUMISHI  WA HALMASHAURI WAKIFUATILIA TARIFA ILIYOWASILISHWA KWA MKUU WAMKOA  NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA MUHEZA 


KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ZENA SAID AKIWA NA MBUNGEWA MUHEZA BALOZI ADADI RAJAB 


MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA AKIZUNGUMZA  NA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA MUHEZA


No comments:

Powered by Blogger.