PICHA MBALIMBALI MKUTANO WA WATENDAJI,WENYEITI WA MITAA NA WANANCHI KUHUSU MAKUBALIANO YA UTARATIBU WA KUSAIDIA HUDUMA YA MAJI BURE KWA KAYA MASKINI JIJINI TANGA
KAIMU MKURUGENZI TANGA UWASA MHANDISI FARES ARAM AKIFUNGUA MKUTANO WA MAKUBALIANO YA KUZIPATIA WA HUDUMA YA MAJI BILA MALIPO KAYA MASKINI |
BAADHI YA WASHIRIKI WA MKUTANO WA MAKUBALIANO WA WATUMIAJI WA MAJI KAYA MASKINI TANGA UWASA |
AFISA UHUSIANO TANGA UWASA DORA KILLO AKISISITIZA JAMBO KATIKA MKUTANO WA MAKUBALIANO WA KUZIPATIA HUDUMA YA MAJI BILA MALIPO KAYA MASKINI JIJINI TANGA. |
AFISA MADUHULI TANGA UWASA ROGERS MACHAKU AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO HUO |
BAADHI YA WASHIRIKI WAKISIKILIZA MAELEZO KUTOKA KWA MAAFISA WA TANGA UWASA |
MMOJA WA WASHIRIKI AKICHANGIA KATIKA MKUTANO WA MAKUBALIANO YA KUZIPATIA HUDUMA YA MAJI BILA MALIPO KAYA MASKINI JIJINI TANGA |
MENEJA FEDHA TANGA UWASA AGNESS LUKINDO AKITOA MAELEZO KUHUSU MAMLAKA INAVYO CHANGIA KASAIDIA KUZILIPIA HUDUMA YA MAJI KAYA MASKINI |
AFISA MAHUSIANO TANGA UWASA DORA KILLO AKIONYESHA FOMU ITAKAYOTUMIKA KATIKA UTARATIBU WA KUSAIDIA KAYA MASKINI |
No comments: