PICHA MBALIMBALI HAFLA YA KUKABIDHI GARI LA WAGONJWA, VITANDA. MAGODORO NA MASHUKA KATIKA KITUO CHA AFYA PONGWE
WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO UMMY MWALIMU AKIWA NA BAADHI YA WATUMISHI WA KITUO CHA AFYA PONGWE KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI GARI LA WAGONJWA |
KATIBU TAWALA WILAYA YA TANGA FAIDHA SALIM AKIZUNGUMZA WAKTI WA HAFLA YA KUKABIDHI GARI LA WAGONJWA VITANDA NA MASHUKA KATIKA KITUO CH AFYA PONGWE |
MENEJA WA BOHARI YA DAWA MKOA WA TANGA MWANASHEHE |
BAADHI YA WANANCHI NA WAFANYAKAZI WA KITUO CHA AFYA PONGWE |
MWENYEKITI WA KAMATI YA ELIMU NA AFYA JIJI LA TANGA HABIBU MPA (KUSHOTO) AKISIKILAZA KWA MAKINI TAARIFA YA MGANGA WA JIJI HAYUPO PICHANI WAKATI WA HAFLA HIYO |
MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA HIYO |
WAZIRI AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO UMMY MWALIMU AKIHUTUBIA WANANCHI WA PONGWE KABLA YA KUKABIDHI GARI LA WAGONJWA |
WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU AKIKABIDHI VITANDA |
WAZIRI UMMY AKIWA NDANI YA GARI LA WAGONJWA MARA BAADA YA KULIKABIDHI |
MEYA WA JIJI LA TANGA MHINA MUSTAFA AKITOA SHUKURANI KATIKA HFLA HIYO |
No comments: