PICHA MBALIMBALI SAKATA A MASHINE ZA RISITI KATIKA VITUO VYA MAFUTA MKOANI TANGA
HIKI NI MOJA YA KITUO CHA MAFUTA JIJINI TANGA AMBACHO KIMEFUNGWA NA TRA KWA KUTOKUA NA MTAMBO WA KUTOA RISITI |
BAADHI YA MAAFISA WA TRA WAKISHAURIANA KABLA YA KUCHUKUA HATUA ZA KUFUNGA KITUO |
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA KITUO CHA TAPCO WAKIMSIKILIZA MENEJA WA TRA MKOA WA TANGA SALEH BYARUGABA HAYUPO PICHANI WAKATI WA OPERESHENI YA UKAGUZI WA MITAMBO YA RISITI |
MSONGAMANO WA WATUMIAJI WA VYOMBO VYA USAFIRI KATIKA VITUO VIWILI VYA TOTAL NA MKWAKWANI RATCO AMBAVYO NDIYO PEKEE VILIVYOKUA VIKITOA HUDUMA |
MENEJA WA TRA MKOA WA TANGA SALEH BYARUGABA AKITOA MAELEKEZO KATIKA KITUO CHA MAFUTA CHA TAWAKAL KILICHPO BARABARA YA 12 KARIBU NA STAND YA ZAMANI |
No comments: