PICHA MBALIMBALI ZIARA YA MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA KATIKA KIWANDA CHA TANGA FRESH
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA AKISAMIANA NA MENEJA WA KIWANDA CHA TANGA FRESH MARA BAADA YA KUWASILI KIWANDANI HAPO |
MENEJA TANGA FRESH MICHAEL KARATA AKIMKARIBISHA MKUU WA MKOA NA UJUMBE WAKE |
MENEJA MKUU TANGA FRESH MICHAEL KARATA AKITOA TAARIFA YA UTENDAJI WAKATI WA ZIARA YA MKUU WA MKOA KIWANDANI HAPO |
MKUU WA MKOA WA TANGA AKIZUNGUMZA MARA BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA UTENDAJI WA KIWANDA CHA TANGA FRESH |
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA NA UJUMBE WAKE WAKIKAGUA UPANUZI WA KIWANDA CHA TANGA FRESH |
MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA WA MAZIWA MKOA WA TANGA( TDCU) HAMIS MZEE AKIMWELEZA JAMBO MKUU WA MKOA WA TANGA |
KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ZENA AHMED AKIULIZA KUHUSU MITAMBO MIPYA YA UZALISHAJI WA MAZIWA YANAYDUMU KWA MUDA MREFU (UHT ) WAKATI WA ZIARA YA MKUU WA MKOA KATIKA KIWANDACHA TANGA FRESH. |
MENEJA UFUNDI TANGA FRESH ADAM GAMBA AKITOA MAELEZO KWA MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA WAKATI ALIPOTEMBELEA KIWANDA HICHO |
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA TANGA FRESH WAKIWA KAZINI |
MENEJA UFUNDI TANGA FRESH ADAM NA MENEJA MKUU MICHAEL KARATA WAKITOA MAELEZO KWA MKUU WA MKOA MARTIN SHIGELA NA UJUMBE WAKE KUHUSU UZALISHAJI WA MAZIWA WAKATI ALIPOTEMBELEA KIWANDA HICHO |
No comments: