DC MWILAPWA AFUNGA KAMBI YA MACHO
MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKIWASILI KATIKA HOSPITALI YA SHIFAA TAYRI KWA KUFUNGA KAMBI YA MACHO |
MENEJA WA KITUO CHA AFYA SHIFAA AKISOAMA TAARIFA KWA MGENI RASMI |
MKUU WA TAASISI YA ANSAAR SHEIKH SALIM BARHIYAN AKIZUNGUMZA WAKATI WA HAFLA YA KUFUNGA KAMBI YA MACHO |
MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKIFUNGA KAMBI YA MACHO |
NKURUGENZI WA JIJI LA TANGA DAUD MAYEJI AKIZUNGUMZA WAKATI WA HAFLA YA KUFUNGA KAMBI YA MACHO |
BAADHI YA WANANCHI WALIOFANYIWA UCHUNGUZI NA WENGINE KUFANYIWA UPAUSAJI |
BAADHI YA WANANCHI WAKISUBIRI KUFANYIWA UPASUAJI WA MACHO |
MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKIMJULIA HALI MGONJWA MARA BAADA YA KUFUNGA KAMBI YA MACHO KATIKA KITUO CHA AFYA CHA SHIFAA |
No comments: