PICHA MBALIMBALI ZIARA YA RAIS MAGUFULI MKOANI TANGA
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA AKITETA JAMBO NA KATIB TAWALA ZENA AHMED WAKATI WAKISUBIRI UJIO WA RAIS MAGUFULI |
WAANDISHI WA HABRI WA TANGA WAKISUBIRI UJIO WA RAIS KATIKA KIJIJI CHA MKATA WILAYANI HANDENI |
MENEJA WA NHIF ALLY MWAKABABU AKIHOJIWA NA TBC WAKATI WA ZIARA YA RAIS MKOANI TANGA |
BAADHI YA WANANCHI WA IJIJI CHA MKATA WALIOJITOKEZA KUMPOKEA RAIS MAGUFULI |
WAANDISHI WA KITUO CHA RADIO TK FM WAKIWA KAZINI WAKATI WA MAPOKEZI YA RAIS MAGUFULI KATIKA KIJIJI CHA MKATA WILAYANI HANDENI |
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKIZUNGUMZ NA WANANCHI WA MKATA MARA BAADA YA KUWASILI |
RAIS MAGUFULI AKIWASALIMIA WANANCHI WA KIJIJI CHA KWAMKONGA WILAYANI HANDENI |
MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI PROF MAJI MAREFU AKISALIMIANA NA RAIS KATIKA KIJJI CHA HALE WAKATI ALIPOSIMAMA KUSALIMIA WANANCHI |
WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO UMMY MWALIMU AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA ZIARA YA RAIS MKOANI TANGA |
RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI |
BAADHI YA WANANCHI WALIOJITOKEZA BARABARANI KUMPOKEA RAIS MAGUFULI |
No comments: