ZIARA YA WAHARIRI KATIKA KIWANDA CHA SARUJI TANGA
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA SIMBA CEMENT WAKISIKILIZA WAKATI MKURUGENZI MTENDAJI AKITOA MADA KWA WAHARIRI |
BAADHI YA WAHARIRI WAKIMSIKILIZA MKURUGENZI MTENDAJI WA KIWANDA CHA SARUJI RENHARDIT SWAAT WAKATI WALIPOTEMELEA KIWANDA HICHO |
MKURUGENZI MTENDAJI WA KIWANDA CHA SARUJI TANGA REINHARDIT SWAATAKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI |
MENEJA MAWASILIANO SIMBA CEMENT AKITOA UFAFANUZI KWA WAHARIRI |
BAADHI YA WAHARIRI WALIPOTEMBELEA ENEO LINALOTUMIKA KUTOA MALGHAFI YA KUTENGENEZA SARUJI |
ZIARA YA WAHARIRI TANGA CEMENT |
Hassan Hashim Tanga
Wahariri wa vyombo vya habari wameiomba serikali kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayowakabili wawekezaji ili kuongeza kasi ya uuzalishaji katika viwanda na kuinua uchumi wa nchi.
Kauli hiyo wameitoa mara baada ya ziara ya kutembelea kiwanda cha saruji Tanga na kujionea shughuli za uzalishaji katika kiwanda hicho
Wamesema dhamira ya serikali ya kufikia uchumi wa kati itazaa matunda endapo sekta ya viwanda itapewa kipaumbele kwa kutatua changamoto zinazosababisha kushuka kwa uzalishaji.
Aidha wamepongeza hatua ya serikali kutwaa baadhi ya viwanda vilivyoshindwa kuendelezwa na kuwapatia wawekezaji wengene ambao watakidhi makubaliano kuzalisha na kuongeza ajira
Awali mkurungenzi mtendaji wa kiwanda cha saruji Tanga Reinhardt Swaat amesema serikali iangalie uwezekano wa kuelekeza viwanda vya saruji kutumia malighafi (KLINKER)kutoka hapa nchini na kujenga mtandao wa Reli ya kisasa kwenda mikoa mbalimbali ambayo itapunguza gharama za usafirishaji wa makaa ya mawe na saruji ili kukabiliana na ushindani wa kibishara.
mwisho.
No comments: