ZIARA YA WAZIRI WA KILIMO ,MIFUGO NA UVUVI KIWANDA CHA KUSINDIKA MAZIWA CHA TANGA FRESH
WAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI CHARLES TZEBA AKISALIMIANA NA VIONGOZI WAKATI ALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA KUSINDIKA MAZIWA TANGA FRESH |
MKUU WA WAILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA KILIMO CHARLES TZEBA WAKATI ALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA KUSINDIKA MAZIWA CHA TANGA FRESH |
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA AKIZUNGUMZA WAKATI WA ZIARA YA WAZIRI WA KILIMO KATIKA KIWANDA CHA KUSINDIKA MAZIWATANGA FRESH |
WAZIRI WA KILIMO CHARLES TZEBA AKIZUNGUMZA WAKATI ALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA KUSINDIKA MAZIWA TANGA FRESH |
No comments: