MATUKIO MBALIMBALI KATIKA TUZO YA UANDISHI WA KISHUJAA NA UTUMISHI ULIOTUKUKA YA DAUDI MWANGOSI
Abubakar Karsan: Mkurugenzi mtendaji wa umoja wa muungano wa klabu za waandishi wa habari Tanzania(UTPC) |
Deogratius Nsokolo:Rais wa umoja wa muungano wa klabu za waandishi wa habari Tanzania (UTPC) |
Jenerali Ulimwengu:Mwenyekiti wa jopo la majaji wa tuzo ya Daud Mwangosi |
Washiriki wa mkutano wa tuzo ya uandishi wa kishujaa na utumishi uliotukuka ya Daudi Mwangosi |
Ernest Sungura: Mkurugenzi wa Tanzania Media Foundation (TMF) |
Ernest Sungura: Mkurugenzi wa Tanzania Media Foundation (TMF) akitoa nasaha fupi kwa washiriki |
Bw. Simalenga Saimon mwakilishi kutoka Clauds Media Group akipokea tuzo ya uandishi wa kishujaa na utumishi uliotukuka ya Daudi Mwangosi |
Bw. Simalenga Saimon mwakilishi kutoka Clauds Media Group akipokea cheti cha tuzo ya uandishi wa kishujaa na utumishi uliotukuka ya Daudi Mwangosi |
Bw. Simalenga Saimon mwakilishi kutoka Clauds Media Group akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi katika tuzo ya uandishi wa kishujaa na utumishi uliotukuka ya Daudi Mwangosi |
Mwakilishi wa Clauds Media Group Bw. Simalenga Saimon akitoa neno la shukrani |
Mwakilishi wa Clauds Media Group Bw. Saimon Semalenga katikati akiwa na Jopo la majaji wa tuzo ya uandishi wa kishujaa na utumishi uliotukuka ya Daudi Mwangosi |
Mwakilishi wa Clauds Media Group Bw. Saimon Semalenga akiwa na bodi ya utendaji ya umoja wa muungano wa klabu za waandishi wa habari Tanzania (UTPC) |
Mwakilishi wa Clauds Media Group Bw. Saimon Semalenga akiwa na baadhi ya wageni waalikwa kwenye tuzo ya uandishi wa kishujaa na utumishi uliotukuka ya Daudi Mwangosi |
No comments: