|
MKUU WA WILAYA YA HANDENI GODWIN GONDWE (KULIA) AKIWA NA MKUU WA WILAYA YA TANGA NA MKUU WA MKOA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI VIFAA TIBAWA |
|
WASANII WA KUNDI LA TANZANIA KWANZA ASHA BOKO NA TAUSI WAKIONYESHA UMAHIRI WAO KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI VIFAA TIBA |
|
BAADHI YA VIONGOZI WA KUNDI LA TANZANIA KWANZA WAKITAMBULISHWA KWA MGENI RASMO |
|
MWENYEKITI WA KUNDI HILO STEVE NYERERE AKIELEZA MALENGO YA KUNDI HILO |
|
STEVE NYERERE AKIKABIDHI VIFAA TIBA KWA MKUU WA MKOA MARTIN SHIGELA |
|
BAADHI YA WASANII WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI |
|
MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKIMKARIBISHA MGENI RASMI |
|
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTINE SHIGELA AKITOA NENO KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA VIFAA TIBA |
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTINE SHIGELA AKIZUNGUMZA MARA BAADA YA KUKABIDHIWA VIFAA
|
TAUSI AKIONYESHA UMAHIRI WAKE |
|
MEYA WA JIJI LA TANGA MHINA MUSTAFA SELEBOS AKIWA NA MSANII WA KUNDI LA TANZANIA KWANZA |
|
HUYU NI TAUSI MSANII WA KUNDI LA TANZANIA KWANZA AKIONYESHA UMAHIRI WAKE |
BAADHI YA WASANII WAKISILIZA HOTUBA YA NGENI RASMI
No comments: