PICHA MBALIMBALI KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA TANGA
MENEJA WA WAKALA WA BARABARA MKOA WA TANGA TANROADS MHANDISI ALFRED NDUMBARO AKIWASILISHA TAARIFA YA UTENDAJI KATIKA KIKAO HICHO |
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTINE SHIGELA AKIFUNGUA KIKAO CHA PILI CHA BODI YA BARABARA MKOA WA TANGA |
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TANGA HENRY SHEKIFU AKIZUNGUMZA KATIKA KIKAO CHA BODI YA BARABARA |
BAADHI YA WAJUMBE WA KIKAO CHA BODI YA BARABARA |
MENEJA WA WAKALA WA MITAMBO TEMESA MHANDISI MARGARETH GINA AKIWASILISHA TAARIFA |
KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ZENA AHMED AKICHANGIA HOJA KATIKA KIKAO CHA BODI YA BARABARA |
MAKAMU MWENYEKITI WA KIKAO CHA BODI YA BARABARA BALOZI ADADI RAJABU MBUNGE WA MUHEZA AKIFUNGA KIKAO. |
No comments: