PICHA MBALIMBALI MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TANGA
MWENYEKITI WA BARAZA LA BIASHARA MKOA MATINE SHIGELA AMBAYE NI MKUU WA MKOA AKIENDEASHA KIKAO |
BAADHI YA WAJUMBE WAKIFUATILIA HOJA |
AFISA MTENDAJI TCCIA CHARLES HOZA AKISOMA TAARIFA KWA WAJUMBE |
MWENYEKITI WA TCCIA DEO RHINDA AKIZUNGUMZA KATIKA BARAZA LA BIASHARA MKOA |
KAMANDA WA POLISI MKOA BENEDICTE WAKULYAMBA AKIELEZA UMUHIMU WA ULINZI |
No comments: