Header Ads


PICHA MBALIMBALI ZIARA YA WAZIRI WA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF JOYCE NDALICHAKO WILAYANI KOROGWE



WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KIKOLE WAKIMZIKILIZA WAZIRI WA ELIMU PROF JOYCE NDALICHAKO  ALIPOTEMBELEA SHULE HIYO 

PROF NDALICHAKO AKISISITIZA JAMBO KATIKA SHULE YA MSINGI KILOLE WILAYANI KOROGWE 


WAZIRI AKIANGALIA BAADHI YA MAJENGO YALIYOKUA YAKITUMIKA KATIKA  SHULE YA MSINGI  MATONDORO KABLA YA KUJENGWA MAPYA 

BAADHI YA MAJENGO MAPYA YA MADARASA  YA SHULE YA MSINGI MATONDORO



BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MATONDOROWAKISHANGILIA UJIO WA WAZIRI WA ELIMU SHULENI HAPO 


PROF NDALICHAKO AKIZUNGUMZA KABLA YA KUZINDUA MADARASA KATIKA SHULE YA MSINGI MATONDORO



BAADHI YA WALIMU WA SHULE YA MSINGI MATONDORO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI WA ELIMU 


BWENI JIPYA LA WASICHANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI SEMKIWA

BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI SEMKIWA 

MKUU WA WILAYA YA KOROGWE ROBERT GABRIEL AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA UFUNGUZI WA BWENI LA  WASICHANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI SEMKIWA AMBAPO WAZIRI WA ELIMU ALIAHIDI KUTOA SHILINGI MILIONI 10 KWA AJILI YA KUNUNUA VITANDA NA MAGODORO 

WAZIRI WA ELIMU PROF NDALICHAKO AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA BWENI LA WASICHANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI SEMKIWA 


BAADHI YA MAJENGO MAPYA YA SHULE YA MSINGI KILIMANI AMBAYO SERIKALI ILITOA FEDHA KWA UJENZI WA MADARASA 3 LAKINI WANANCHI KWA KUSHIRIKIANA NA HALMASHAURI WAMEJENGA VYUMBA 7



MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE JUMANNE SHAURI AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA UFUNGUZI WA VYUMBA 7  VYA MADARASA  NA MATUNDU 12 YA VYOO KATIKA SHULE YA MSINGI KILIMANI 

MBUNGE WA KOROGWE MJI  MARY CHATANDA AKIZUNGUMZA WAKATI WA HAFLA YA UZINDUZI HUO 


WAZIRI WA ELIMU PROF NDALICHAKO AKIKABIDHI ZAWADI KWA WALIMU WA SHULE YA MSINGI KILIMANI WILAYANI KOROGWE 


Add caption


WAZIRI WA ELIMU PROF NDALICHAKO KATIKATI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KULIA NI AFISA MAWASILIANO WA WIZRA HIYO MWASU SWARE

No comments:

Powered by Blogger.