|
BAADHI YA WASHIRIKI WA KONGAMANO |
|
WANAFUNZI WA SHULE MBALI MBALI ZA SECONDARI NI MIONGONI MWA WASHIRIKI |
|
NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO CHA ECKERNFORDE PROF. EGNALD MIHANJO AKIZUNGUMZA KATIKA KONGAMANO HILO |
|
MMILIKI WA CHUO CHA ECKERNFORDE MZEE TARIMO AKIPOKEA CHETI KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA KUENDELEZA ELIMU |
|
MAKMU MKUU WA CHUO PROF JOHN KIANGO AKIPOKEA CHETI CHA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA TAALUMA |
|
Add caption |
|
MAKAMU MKUU WA CHUO CHA ECKERNFORDE PRF.JOHN KIANGO |
|
MWENYEKITI WA CHAMA CHA HISTORIA DKT OSWALD MASEBO AKIWASILISHA MADA KUHUSU VITA YA TANGA |
|
DKT MASEBO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI |
|
JIWE LA MNARA WA KUMBUKUMBU YA ASKARI MASHUJAA WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA VITA KUU YA DUNIA |
|
MNARA WENYE MAJINA YA ASKARI WA UJERUMANI NA TANGANYIKA WALIOPIGANA VITA YA KWANZA YA DUNIA MWAKA 1914 KWA MAJESHI YA WAJERUMANI |
|
KABURI LA KAMANDA WA VITA HIVYO (SAKARANI )KWA MAJESHI YA WAJERUMANI
|
MHIFADHI WA MAKABURI YA SAKARANI KUTOKA TAASISI YA TANGA URITHI BW JOEL |
|
MAKABURI YA ASKARI WALIOPIGANA VITA YA KWANZA YA DUNIA 1914 KWA MAJESHI YA WAINGEREZA |
Hassan Hashim Tanga.
Baadhi ya wanazuoni na wakazi wa jiji la tanga wameoiomba
Serikali kuwekeza katika kuhifadhi na
kuitangaza historia ya Tanga ili iweze
kutumika kama kivutio cha Utalii na
kuinua uchumi wa nchi.
Rai hiyo imetolewa nana baadhi ya washiriki wa kongamano
la kitaaluma la siku moja la kujadili tukio la kihistoria la vita kuu ya kwanza
ya dunia iliyojulikana kama ( The Battle of Tanga ) lililoandaliwa na chuo
kikuu cha Eckenrforde cha jijini hapa .
Wamesema Tanga imebahatika
kuwa na vivutio vya kihistoria ikwemo majengo ya kale na ujenzi wa taifa katika karne ya
19 ikiwemo viwanda miundombinu ya
reli, bandari pamoja na mahusiano ya mataifa mbalimbali ya nje lakini
havijatumika ipasavyo kama sehemu ya utalii wa kihstoria
Kwa upande wao wadau
uhifadhi wa makumbusho ya tanga wamesema
bado ipo changamoto kwa idara inayohusika na mambo kale kuweka kumbumbu ambazo
zinaweza kutumika kwa utalii na upande mwingine
elimu kwa jiana wa kitanzania
Historia mapigano ya vita ya kwanza ya dunia kati
ya majeshi ya Uingereza na Ujerumani yalifanyika eneo la jasini na bandari ya tanga kati ya November 2-5
1914 ambapo askari waliopoteza maisha walizikwa katika maeneo mbalimbali
jijini hapa.
……………………………….
No comments: